VIDEO: Kali Nyingine ya Kagera, Mchungaji Aoa Mke wa Muumini
Wilaya ya Karagwe Kagera imeingia tena kwenye headlines kwa mkasa
uliotokea katika kata ya Ndama baada ya Mchungaji wa kanisa katika
huduma ya kristu {H.K.K} Japhes Josephat kumuoa Mke wa muumini wake kwa
madai ameoteshwa na Mungu….
Comments
Post a Comment