March 29, 2017 Waziri mpya wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Dr. Harrison Mwakyembe alikutana na watendaji waandamizi na
wakuu wa taasisi za wizara hiyo Dodoma ikiwa ni siku moja baada ya
kukabidhiwa ofisi ya Wizara hiyo na Waziri wa zamani Nape Nnauye.
Full video tayari nimekuwekea hapa chini…
Comments
Post a Comment