VIDEO: Hali ya Neema aliyepigiwa simu na Rais Magufuli na kupewa msaada

Neema Mwita mkazi wa Musoma mkoani Mara aliyepata majeraha makubwa baada ya kuunguzwa kwa uji wa moto na mume wake, na taarifa zilipomfikia Rais Magufulia alimpa msaada wa matibabu kutoka kutokana na majeraha yaliyokuwa yakimtesa.
Ikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu Rais Magufuli atoe msaada huo Neema Mwita amemshukuru Rais Magufuli kwa msaada wake Mkubwa aliompatia na kufanikisha matibabu yake na anasema sasa anaendelea vizuri. Bonyeza play hapa chini kuitazama

Comments