Haya Hapa Maujanja ya Kutengeneza Natural Viagra, Mademu Lazima Wakukome..!!!

Nimeamua kuisaidia kambi yangu ya kiumeni manake wachuchu wanaishambulia sana, mara ooh Sku hizi wachezaji wamekuwa wachovu,
Mara wanasema eti hatufungi magoli ya uhakika na wengine wanafika mbali zaidi wakisema eti hatuwezi kuhimili mchezo kwa dakika 90 Kudadekii..
Sasa nasemajeee wanawake mjiandae...
Mazee miluzi mingi humchanganya mbwa! Sasa mimi ngoja niende straight to the point, Le'go..
JINSI YA KUANDAA MCHANGANYIKO WA NATURAL VIAGRA
Vinavyohitajika
i.¼ Tikikiti maji ( watermelon)
ii.1 Limau (lemon)
iii.1 Komamanga(pomegranate)
Jinsi ya kutengeneza
- Chukua hivyo tikiti likate vipande vidogovidogo( hata ule utando mweupe wa chini pia muhimu sana hivyo hakikisha unalikwangua vizuri), kisha viweke pamoja na hayo matunda mengine kwenye blenda kwaajili ya kusagwa.
- Visage vizuri mpaka viwe juice, kisha chukua juice yako weka kwenye sufuria alafu viweke jikoni vichemke, hakikisha vinachemka mpaka vinatoa mvuke wa kuevaporate,
- Baada ya hapo iepue kisha iache ipoe kwa muda kama wa saa1(lisaa limoja),
- Hapo sasa weka kwenye chupa au chombo chenye mfuniko kisha hifadhi kwenye friji, na hapo utakuwa umeshatengeneza, twende kwenye matumizi sasa tehetehe leo mademu watakoma leooo!
Jinsi ya kutumia
- Kila siku asubuhi kunywa 1/3 ya kikombe au glass, hakikisha unakunywa kabla haujala chochote( empty stomach)
- Fuata utaratibu huo pia kabla ya msosi wa mchana.
NB: Hiyo ni juice ya asili kabisa ambayo itakwenda kurekebisha msukumo wako wa damu mwilini na kukuongezea stamina ya kupafomu shoo ambayo sio ya nchi hii,
Na pia hiyo juice inaweza kutumiwa na mtu yeyote kwasababu haina side effects.
ONYO: Hiyo juice baada ya maji usiichanganye na kitu chochote kile mfano Sukari, chumvi, Ladha(taste), rangi, au kiungio chochote kile kwa sababu vinaweza kuipunguza nguvu ya utendaji kazi.
Vilevile Wakati unachanganya hayo matunda usitoe mbegu, changanya na mbegu zake...

Comments

Post a Comment