Alichokiongea Lionel Messi baada ya kufungiwa na FIFA kwa kumtukana refa
Lionel Messi alifungiwa mechi nne na FIFA kwa kosa la kudaiwa kumtukana muamuzi wakati wa mchezo dhidi ya Chile uliyochezwa March 24 2017, baada ya kufungiwa Lionel Messi alikuwa kakaa kimya lakini leo mtandao wa bleacherreport umempata Lionel Messi.
“Maneno yangu hayakuwa yamemlenga moja kwa moja muamuzi msaidizi, kuna maneno ambayo yalikuwa yamesemwa kwangu mimi nilijisemea tu” >>> Lionel Messi
VIDEO INAYOMUONESHA LIONEL MESSI AKITOA LUGHA CHAFU
Comments
Post a Comment